Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #41
Lakini Kuna kipindi walikua wamefunga ofisi, kupisha KUHAMA na kufanya marekebisho mbalimbali, sijui ime kuaje hawalipwi binafsi sijajua mkataba wao unasema vipi ofisi ikisimamaHivi wasafi Haina HR?
Inawezekana vp .mtu anakaa miezi saba bila kulipwa mshahara
Dah mkuu nakumbuka way back nipo tabata aroma hapo Kwa bro, mkuu ilikua ni clouds fm tangu nahamia pale mpaka naondoka hajawahi badilishwa stesheni, jamaa walitisha sanaHivi ile siku waliyogombana na Mondi kwenye redio kipindi yupo Clouds wewe ulikua wapi? Unakumbuka jinsi ilivyokua mpaka wakaanza kugombana On Air huku wasikilizaji tunasikia kinachoendelea? Kipindi hicho usiposikiliza Clouds wewe sio mjanja unaonekana wa kawaida tu ila muda unakimbia jamani
Na ndo alidai mwanzo anaenda simamia podcast yake Jana kadai huenda akasikika kwenye kituo kingine maisha hayaAngefungua podcast
Binafsi hii nashindwa kuamini hivi ofisi gani inaruhusu mfanyakazi wake kutolipwa tangu Jan mpaka Dec huo ni mwaka ujue? Hata ukiwa unafanya kazi kimbiji company limited huwezi kukuta hivyoLakini Kuna kipindi walikua wamefunga ofisi, kupisha KUHAMA na kufanya marekebisho mbalimbali, sijui ime kuaje hawalipwi binafsi sijajua mkataba wao unasema vipi ofisi ikisimama
Samahani, wewe ni KE au ME?? Kama ni KE hakuna shida.Kinachoendelea kupata umbeya
Za kuishi⦠Attention seekerUkipata mwanamke kama diva siku zako za kuwa na furaha zitahesabika
Wangapi wameondoka kwenye makampuni ila hawajaongea shi!t zozote kuhusu kampuni na staffs? Ndiyo hiyo matatizo ya afya ya akili ,jambo dogo tu analipuka....kulikuwa na haja gani ya kusema kwamba hawajalipwa miezi 7 mishahara? Si angesepa tu ,yeye si anajitapa anaingiza mahela kibao kwa mwezi kwenye deals zake za nje?Alikua sawa kuondoka Kwa sababu zake ,ila kumhusisha marehemu dida sio sawa, hawezi jitetea huyo aachwe apumzike
Njoo gheto nikuoneshe mkuu, ondoka shaka kabisa sita kufanya kituSamahani, wewe ni KE au ME?? Kama ni KE hakuna shida.
Hata kule anapo enda watamuogopaWangapi wameondoka kwenye makampuni ila hawajaongea shi!t zozote kuhusu kampuni na staffs? Ndiyo hiyo matatizo ya afya ya akili ,jambo dogo tu analipuka....kulikuwa na haja gani ya kusema kwamba hawajalipwa miezi 7 mishahara? Si angesepa tu ,yeye si anajitapa anaingiza mahela kibao kwa mwezi kwenye deals zake za nje?
Hakuna mwajiri atayemuajiri Diva au kufanya naye kazi ,niliona kuna siku anapigizana kelele na kampuni ya bima nikaona kweli Dish limeyumba ,anadai hakutumia bima yake hadi ime-expire so ile hela iliyobaki inabidi aende nayo mwaka mwingine π πHata kule anapo enda watamuogopa
π€£π€£π€£π€£Hakuna mwajiri atayemuajiri Diva au kufanya naye kazi ,niliona kuna siku anapigizana kelele na kampuni ya bima nikaona kweli Dish limeyumba ,anadai hakutumia bima yake hadi ime-expire so ile hela iliyobaki inabidi aende nayo mwaka mwingine π π
Lakini huyu Diva si ni mtoto wa Jamal Malinzi?? Mbona Malinzi kitambo tu alikua na mkwanja mrefu?? Iweje huyu Lugumi ndio ampige tafu ?? Sijaelewa hapo, ila mdada ana majigambo sana nafikiri ndio kunakomfanya anachukiwa na watu wengi. Kama hii kuacha kazi Wasafi, angepiga kimya kimya tu wala haya yote yasingetokea mitandaoni.Diva ana shida ya akili.
Dah! π€£π€£π€£π€£π€£ Ndio tumefikia hukuLeo ndio nimejua hizi media house zinanjaa SANA
Jana na Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo kutoka CROW FM sasa kuna shabik Yao dereva bajaji anaitwa BROOK TIGER kama sijakosea huwa anawatembelea mara kwa mara anawapa 10000/- Kila mmoja sasa mchambuz anaitwa JEF LEYA akasema Leo atakuja huyo shabik wakaanza kufuraj nakusema Bora aje maanawamechoka SANA
Leo mtangazaj JUMA AYO anamwambia shabik Toka south afrika amtumie mtangazaj mwenzake JESCA MHAGAMA pesa Binti alisita baadaye akakubal
Sasa wanawalazmisha hata mashabik wawachangie pesa inaonekana huko n hal mbaya sana
Kutuma meseji ya maon kwenye kipindi haisomwi had utume hela
π€£π€£π€£π€£Huyo Diva tokea mwez oct kwenye zile kampem zao nilishamuona hamnazo.
Lolote limkute.