Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko instagram diva anamuongelea vipi domo? Maana hata sina habari.Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
B12 ndo kaanzisha mtiti! Diamond kaingia studio akamkuta Diva lakini wakiliana bati! B12 akauliza nyie watu vp mbona haziendi mnasemezana kwenye mitandao... sekunde chache baadae akarekebisha kauli na kuhoji sababu zinazomfanya Diva amseme vibaya Diamond Instagram hapo ndipo mtiti ulipopanda joto... anyway, kwa jinsi B12 alivyokuwa ameileta ile mada nilijua lazima kitifuke!duhh kisa ni nn walipoanzia yaan sourcr
subir diva akazwe ndo atatulia!
et ur nt ma typ;diva mwenyw dem wa kawaida xn;dawa yak mond tibua vuzi huyo malaya atie heshima!
Dozen Hakutegemea Kama Wangezinguan Kivile Eti Anawambia Malizen Tofaut Zenu Haha Acha Diva Ajitutumue .... Kuona Iv Daimond Akaporomosha Yake Ilikuwa N Visekund Kadhaa Bt Wasikilaz Hatare Hatupitw M Nilizan Nimeskia Vibaya, Kwa Hal H Clouz Hamna K2Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
domo mngese tu!' kwanza atajuta, tutakua tunamzomea kwenye shoo zake mpaka atamfuta malow alipo ............