Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
279
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.
 
Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
 
Jaman mliosikia mwaga madude hapa kwan ishu ilikuwa nini
 
Huko instagram diva anamuongelea vipi domo? Maana hata sina habari.
 
duhh kisa ni nn walipoanzia yaan sourcr
B12 ndo kaanzisha mtiti! Diamond kaingia studio akamkuta Diva lakini wakiliana bati! B12 akauliza nyie watu vp mbona haziendi mnasemezana kwenye mitandao... sekunde chache baadae akarekebisha kauli na kuhoji sababu zinazomfanya Diva amseme vibaya Diamond Instagram hapo ndipo mtiti ulipopanda joto... anyway, kwa jinsi B12 alivyokuwa ameileta ile mada nilijua lazima kitifuke!
 
Asubiri akazwe na domo ndo atatia adabu, nimeisikia nikabaki nashangaa
 
Huko instagram diva anamuongelea vipi domo? Maana hata sina habari.
Kwa nini usiingie insta uone mwenyewe? Kumbe mnapenda umbea eeh!, mwanangu nifah
 
Last edited by a moderator:
Dozen Hakutegemea Kama Wangezinguan Kivile Eti Anawambia Malizen Tofaut Zenu Haha Acha Diva Ajitutumue .... Kuona Iv Daimond Akaporomosha Yake Ilikuwa N Visekund Kadhaa Bt Wasikilaz Hatare Hatupitw M Nilizan Nimeskia Vibaya, Kwa Hal H Clouz Hamna K2
 
domo mngese tu!' kwanza atajuta, tutakua tunamzomea kwenye shoo zake mpaka atamfuta malow alipo ............

Ww hater maisha yako magum...kaa tulia tafuta pesa yakul kwanza mwenzako levo zingine
 
Ila ulivyohoji imetia shaka. Ila.. nifah
Asante sana kama umekua.
 
Last edited by a moderator:
Me mwenyewe nimeisikia nikajua lazima mtu ataanzisha thread Hahaha watu hamchelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…