DIVISION 1,2, 3 and JKT

DIVISION 1,2, 3 and JKT

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
wanajukwaa, awamu ya kwanza na ya pili ya wanafunzi walioenda JKT wamechukuliwa wale wenye div 1,2 na 3 sayansi ukiachilia mbali wale wa awamu ya kwanza walioenda kabla ya matokeo kutoka,je ni kwa nini wamechukuliwa wenye hizo sifa tu??hawezi kuwa ni kitendo cha kibaguzi kwa wenye div 3 wa arts ambao nao wana sifa za kujiunga na chuo?kwa nini hawakuchanganya kama awamu ya kwanza iwapo wote wana sifa za kujiunga chuo?kwa nini wamekuja na huo mfumo baada tu ya matokeo?
 
Anajua huyu hapa "Raphael Muhuga" wote cc 2mefumbwa macho ha2jui kinachoendelea na kitakachotokea. Kama vp u can find him.
 
Sayans co wote wenye div3 wamechukuliwa! Ni baadh yao tu ndo wamechukuliwaaaa! So science kibao wenye 3 wameachwaaa
 
lakini tangazo lilielekeza kuwa wenye dv 3,hawakusema baadhi au me ndo sikuelewa tangazo?
 
Back
Top Bottom