wanajukwaa, awamu ya kwanza na ya pili ya wanafunzi walioenda JKT wamechukuliwa wale wenye div 1,2 na 3 sayansi ukiachilia mbali wale wa awamu ya kwanza walioenda kabla ya matokeo kutoka,je ni kwa nini wamechukuliwa wenye hizo sifa tu??hawezi kuwa ni kitendo cha kibaguzi kwa wenye div 3 wa arts ambao nao wana sifa za kujiunga na chuo?kwa nini hawakuchanganya kama awamu ya kwanza iwapo wote wana sifa za kujiunga chuo?kwa nini wamekuja na huo mfumo baada tu ya matokeo?