Kaka ckushauri wala usimshauri ku-reseat huyo dada etu, coz kuna uwezekano mdogo sana wa kupata crdt as far as i know kuwa siku hizi hakuna ku-reseat somo moja wala ma2 ni lazima afanye yote so anaweza akapoteza kabisa hata hzo crdt mbili alizonazo.Labda anachotaka ni kwenda Advance tuu ili afanye ACSEE au anamalengo ya mbele zaidi?? Kama kidogo home wanajiweza zipo shortcut nyingi tuu za kuendelea mbele tena kwa hayo matokeo yake anaweza endelea na akapata chuo kizuri tuu na kuwapiga gap hata hao wenzake waliofanya vizuri sasa hivi kwani wanaweza fanya vibaya ACSEE, so kwa ushauri wangu ni kuwa Mtafutieni chuo ili aendelee mbele na kwa matokeo hayo anaweza kupata hata Diploma to some of the Institutes or Certificate kwani kinachotakiwa ni pass tu and as i can see vigezo anavyo, na kuna baadhi ya vyuo kama anatoka Certificate anaweza kuunga moja kwa moja Bachelor Degree,its a matter of searching for proper Information jombaa.
Angalizo: Usimshauri arudie Mtihani wa CSEE.