division four 37

division four 37

karema

Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
95
Reaction score
7
jamani mdogo wangu kapata dv ya 37,sa sijui ndo kitu gani hiki,naumiza kichwa kama anaweza kwenda chuo chochote.
 
Duh labda umpeleke chuo cha kujifunza mazingaumbwe.
 
jamani mdogo wangu kapata dv ya 37,sa sijui ndo kitu gani hiki,naumiza kichwa kama anaweza kwenda chuo chochote.

Mkuu kijana kafaulu vizuri tu, usiogope hizo 37 points. Kumbuka pointi zinakwenda hadi 49, hivyo kajitahidi.
 
n j aliept dvsn four y 32
Eng=B
Hst=c
ksw=c
Math=d
Cvx=d
Geog=d
Bios=e
Je huy anaenda wap
 
uyo ackate tamaa maAANA anaweza kuaply kwenye ualm cose nmeambiwa kuwa mwisho n dvtion 4 ya 39
 
Back
Top Bottom