Division Four (IV ) ya form four unachukua degree directly

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
621
Mdogo wangu, binamu matoto wa aunt amepata D moja tu yaani ana DIV 0 ya 34 cha ajabu kanipigia simu anasoma bachelor of education St Joseph Mbezi Dar es salaam , sikuamini nikampigia simu aunt kasema ni kweli ni program mpya .Duh hivi wadau ni kweli hii nyie mumesikia? kama ndo hivi hamna haja ya kusoma sana kama una ada za kuunga unga bongo duh.Nategemea anipigie simu aniambie nina first class GPA 4.9 duh.
Ngoja na mimi nijichange change badae nitafute mkopo nijenge majengo yangu nianzishe chuo changu nitoe hadi masters kwa waliopata angalau div. 3 form iv.
Ntamaliza nae wakati mimi nina GPA ya 2.9 ya chuo fulani ,yeye atakua na 4.9 na kazini wanaangalia GPA.
Je ni sahihi kuendelea kutumia GPA kama kigezo kazini? ni sawa unapima uwezo wa watoto wako kwa matokeo ya shule za terminal za shule walikotoka hahahahahhah
 
Hela yako tu sio akili zako duh kwa staili hii tusahau kupata wataalam wanaotakiwa kabisaaaa
 
Hamna kitu siku hizi vicollege vimekua vingi sana
 
mhh....haya bwana but life goes on!!
 
Katika mazingira haya, bado wapo wanadamu wanadai chuo ulichosoma hakidetermine aina ya elimu uliyopata!
 
kuhusu ajira usiwe na wasi wasi saaana,labda kama utaajiriwa serikali,lkn prvate hata vyeti hawataki kuona,mimi nimepata kazi 2 bila kuonesha vyet,wanata ufanye kazi,kwa private interview ina husika sana , na ndo maana wanakuwa ``serious`` hapo
Mdogo wangu, binamu matoto wa aunt amepata D moja tu yaani ana DIV 0 ya 34 cha ajabu kanipigia simu anasoma bachelor of education St Joseph Mbezi Dar es salaam , sikuamini nikampigia simu aunt kasema ni kweli ni program mpya .Duh hivi wadau ni kweli hii nyie mumesikia? kama ndo hivi hamna haja ya kusoma sana kama una ada za kuunga unga bongo duh.Nategemea anipigie simu aniambie nina first class GPA 4.9 duh.
Ngoja na mimi nijichange change badae nitafute mkopo nijenge majengo yangu nianzishe chuo changu nitoe hadi masters kwa waliopata angalau div. 3 form iv.
Ntamaliza nae wakati mimi nina GPA ya 2.9 ya chuo fulani ,yeye atakua na 4.9 na kazini wanaangalia GPA.
Je ni sahihi kuendelea kutumia GPA kama kigezo kazini? ni sawa unapima uwezo wa watoto wako kwa matokeo ya shule za terminal za shule walikotoka hahahahahhah
 
Mdogo wangu, binamu matoto wa aunt amepata D moja tu yaani ana DIV 0 ya 34 cha ajabu kanipigia simu anasoma bachelor of education St Joseph Mbezi Dar es salaam , sikuamini nikampigia simu aunt kasema ni kweli ni program mpya .Duh hivi wadau ni kweli hii nyie mumesikia? kama ndo hivi hamna haja ya kusoma sana kama una ada za kuunga unga bongo duh.Nategemea anipigie simu aniambie nina first class GPA 4.9 duh.
Ngoja na mimi nijichange change badae nitafute mkopo nijenge majengo yangu nianzishe chuo changu nitoe hadi masters kwa waliopata angalau div. 3 form iv.
Ntamaliza nae wakati mimi nina GPA ya 2.9 ya chuo fulani ,yeye atakua na 4.9 na kazini wanaangalia GPA.
Je ni sahihi kuendelea kutumia GPA kama kigezo kazini? ni sawa unapima uwezo wa watoto wako kwa matokeo ya shule za terminal za shule walikotoka hahahahahhah

Kwenye headn ana dvsn 4 kwenye content anadvsn 0 sasa tuelewe nini mkuu.. Ninachojua st joseph wameanzisha hiyo system kwa miaka sita kama sio mitano mpaka ukapate hiyo degree kwa mwenye elimu ya form four.. Wanamaanisha utasoma certifct mwaka m1, diploma 2years, then 3years mingine kwa degree so hapo unakua umetoka na degree kwa hiyo miaka.. ndio maana wamesema form anapata dgree direct utaratibu ndio huo.
 
Na kama kweli kuna kiama cku ya mwisho utachomwa moto kwa uongo wako wewe mtoa Mada! Na hakya Mungu nakuapia kama jina lako limeandikwa ktk kitabu cha uzima mbinguni basi malaika wameshaanza c kulifuta jina lako bali wamechana kabisa hyo page yenye jina lako ili lisionekane kabisa.
 
na mimi nashangaaa sana ndo mana nauliza kama hiyo system ipo ndugu na jamaa zetu waichangamkie
 
Back
Top Bottom