MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 621
Mdogo wangu, binamu matoto wa aunt amepata D moja tu yaani ana DIV 0 ya 34 cha ajabu kanipigia simu anasoma bachelor of education St Joseph Mbezi Dar es salaam , sikuamini nikampigia simu aunt kasema ni kweli ni program mpya .Duh hivi wadau ni kweli hii nyie mumesikia? kama ndo hivi hamna haja ya kusoma sana kama una ada za kuunga unga bongo duh.Nategemea anipigie simu aniambie nina first class GPA 4.9 duh.
Ngoja na mimi nijichange change badae nitafute mkopo nijenge majengo yangu nianzishe chuo changu nitoe hadi masters kwa waliopata angalau div. 3 form iv.
Ntamaliza nae wakati mimi nina GPA ya 2.9 ya chuo fulani ,yeye atakua na 4.9 na kazini wanaangalia GPA.
Je ni sahihi kuendelea kutumia GPA kama kigezo kazini? ni sawa unapima uwezo wa watoto wako kwa matokeo ya shule za terminal za shule walikotoka hahahahahhah