Twaps
Member
- May 26, 2011
- 50
- 28
Wadau naomba mnisaidie katika hili.
Mwanangu ni amefeli kidato cha nne kapata daraja la nne na pointi 40,hataki kurudia (Kureset) sasa naumiza kichwa nimpeleke chuo gani aweze kujiendeleza kimasomo.
Matokeo yake ni kama ifuatavyo:
Math F
Biology E
Civics E
Geography E
History F
English D
Kiswahili B
Naombeni ushauri