mkuu huo ndo mfumo bora wa kusimamia unyonyaji africa
jamani viongozi wetu wengi wanapenda sana america na ulaya...waangalie furaha wanayokuwa nayo wanavotembelea mataifa hayoo hasa wanapokwenda kusalimu white house, 10downing strt!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hapa nakuunga mkono, siku niliyokuwa natazama JMK akimuaga Bush pale uwanja wa ndege Dar Es Salaam, nilishangaa kumuona JMK yuko kwenye furaha kupita kiasi mpaka akawa analimwaga pachanga uwanjani, au sijui ulikuwa mduara ule!