Ni ufinyu wa watu kutofahamu kwamba marriage is an institution which we define to be a contract between man and woman which is intended to last for the rest of their lives!
Ndoa za siku hizi ni fashion, wanaume wanapoteza nguvu ya kiuchumi kwa kufanya harusi ya siku moja kwa milioni 40 wakati hata hana investmen yeyote, akitoka hapo anarudi kusubiri vilaki tano kwa mwezi.
Mwanamke nae kamuona kijana handsome, amesoma, ana kazi, anajitegemea na kanyumba ka kupanga pale sinza kana HED au LCD, amepaki GX110, anavikochi vya mlimani city pale, dada anaona huyo ndiye mwanaume, kumbe jamaa alipewa na wazazi wakati anaanza maisha.
Binti ana kazi yake, kila anachoambiwa na bwanake anasema 'am independent' i got my job, my car, my education, and the guy say the same too!
Kazaa, amependeza kapata kamwili kakiutu uzima, amejazia kang'ara, kakutana na exboyfriend akamsifia na kumuomba namba, wanachat eti friends on facebook, mume kaona, then guess what is next?
TUBADILIKE.