Uchaguzi 2020 Diwani CHADEMA avuruga vijiji nyumbani kwa Waitara wa CCM

Uchaguzi 2020 Diwani CHADEMA avuruga vijiji nyumbani kwa Waitara wa CCM

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Mgombea udiwani wa CHADEMA amevuruga ngome na nyumbani kwa mgombea ubunge wa Jimbo la Tarime vijijini Mwita Waitara, hapo ni kata ya jirani na kata ya Waitara, alikuwa anategemea jamii yake kumuunga mkono kumbe wameshtuka, wanasema arudi Ukonga

Hiki kijiji cha Nyansincha

FB_IMG_1599939899037.jpg
FB_IMG_1599939874067.jpg
 
Safi sn Makamanda........

Hakuna kumuachiachia hata nukta huyo msaliti number...
 
Yasemekana Waitara kampeni yake anapiga kwa mkurugenzi (subordinate wake) tu ili ahakikishe anamtangaza hata kama atapata kura mbili (yake na ya mkewe).
 
Back
Top Bottom