Waitara atafute kaz nyingine,huu mkutano wa diwani kijiji jirani na nyumbani kwakeMgombea udiwani wa CHADEMA amevuruga ngome na nyumbani kwa mgombea ubunge wa Jimbo la Tarime vijijini Mwita Waitara, hapo ni kata ya jirani na kata ya Waitara, alikuwa anategemea jamii yake kumuunga mkono kumbe wameshtuka ,wanasema arudi Ukonga
Hiki kijiji cha Nyansincha View attachment 1568091View attachment 1568090View attachment 1568092
Una tatizo la uoni hafifu.Hivyo vitoto [emoji1]Chadema bwana
Kazi inaendelea ukombozi hivi pundeWaitara atafute kaz nyingine,huu mkutano wa diwani kijiji jirani na nyumbani kwake
View attachment 1568097
Sio vitoto hivyo vimekomaa vina watoto,hata we vinaweza kukupa ujauzitoHivyo vitoto [emoji1]Chadema bwana
Atapewa kazi ndogondogo.... Kule chatoWaitara atafute kaz nyingine,huu mkutano wa diwani kijiji jirani na nyumbani kwake
View attachment 1568097