Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime na baadaye alirudishwa gerezani.
Diwani huyo yuko rumande tangu mwanzoni mwa mwaka huu akituhumiwa kwa mauaji na hata fomu za kugombea udiwani alipelekewa rumande na kufanikiwa kumshinda Katibu Uenezi na Siasa wa CCM wilaya ya Tarime, James Nokwe katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu.
Sifa ni nini? r u crazy baada ya kunywa maji ya kijani?
Hiyo nayo sifa?
Mkuu angalia pale nilipohailiti kwa red. wewe umekimbilia kunitukana tu. yaani mtu anatuhumiwa kwa mauaji lakini mleta thread anaona kama sifa vile kwa kuwa na tuhuma nzito hivyo. Any way, huenda ndo sera za chama chetu!, hata mtu akiua bado anaonekana shujaa.Sifa ni nini? r u crazy baada ya kunywa maji ya kijani?
Hiyo nayo sifa?
Mkuu angalia pale nilipohailiti kwa red. wewe umekimbilia kunitukana tu. yaani mtu anatuhumiwa kwa mauaji lakini mleta thread anaona kama sifa vile kwa kuwa na tuhuma nzito hivyo. Any way, huenda ndo sera za chama chetu!, hata mtu akiua bado anaonekana shujaa.