TANZIA Diwani Kata ya Fukayosi, Ally Ali Issa afariki dunia

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Shabani Mkenge, Amepokea kwa Masikitiko Makubwa kifo Cha Diwani Kata ya Fukayosi Mhe Ally Ali Issa

Anatoa pole Kwa Mhe DC, Mkurugenzi Halmashauri Bagamoyo, Mwenyekiti CCM Wilaya, Mwenyekiti Wa Halmashauri Bagamoyo, Waheshimiwa Madiwani wote, Ndugu, familia na Marafiki wa Marehemu, Wananchi wa kata ya Fukayosi na wana Bagamoyo Kwa Ujumla kufuatia kifo Cha Diwani kata ya Fukayosi Mhe. Ally Ally Issa.

Hakika ni Pigo Kubwa kwa Wana Bagamoyo. Innalillahi wa Innailaihi Rojiun.

 
Mh alinisaidia sana kupata shamba la Mananasi.

Namkumbuka sana Ally alikuwa akipenda ubwabwa wa Nazi.

RIP Mh Ally.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unafiki huu wa wanadamu!! Unaanza kuwapa pole watu ambao hawahusiani kabisa na marehemu halafu wana familia unaweka kama watu baki. Huku ni kujipendekeza. Anza na wana familia ndiyo wameathirika, hao ma-DC na matakataka wengine wana uchungu gani?
 
Umejuaje kama mhe.mbunge amepokea hiyo taarifa Kwa masikitiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…