A
Ukiona unaishi Dar es Salaam lakini bado unalalamika ujue wewe si wakuishi Dar es Salaam Rudi nyumbani kwenu mikoani, ss watu wa vijjn huwa tunajua wote mnaoishi Dar ni matajiri🤣Halafu kuna wakina instinct desire mnaimba nyimbo za kusifia sifia, hapo ni Makumbusho wilaya ya Kinondoni hebu angalia hapo umechimbwa mtaro makutano ya njia 3. Gari, bidaboda, bajaj hata watembea kwa miguu hawapiti.
Mna upendo wa kinafiki na wanaosema kweli wanaonekana wabaya.
Watetezi wa CCM umepaona hapo ?Ukiona unaishi Dar es Salaam lakini bado unalalamika ujue wewe si wakuishi Dar es Salaam Rudi nyumbani kwenu mikoani, ss watu wa vijjn huwa tunajua wote mnaoishi Dar ni matajiri🤣