Jamaa mchemshaji hata wale vijana waliokuwa pale wengi wao walisema wazi kuwa jamaa anatabia ya ulevi na kudharau wengine kwa sababu ya wadhifa wake alionao.
Its a matter of proffessional ethics.
CCM imekuwa ikisimamisha viongozi ambao siyo waadalifu na ambao hawana self respect wala kuheshimu the Tanzanian Masses.