Elections 2010 Diwani mteule wa CCM afariki dunia Sumbawanga

Elections 2010 Diwani mteule wa CCM afariki dunia Sumbawanga

October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
2,145
Reaction score
93
Diwani wa kata ya Kasense (CCM) katika halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga mkoani Rukwa Bw.Pius Michael Sichombo (63)amefariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi ikiwa ni siku tisa mara baada ya kuchaguliwa kuongoza kata hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa naKatibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Sumbawanga mjini Bw. Joel Kafuge amesema kuwa Diwani huyo alifariki juzi katika hospitali ya mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga kutokana na kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu.

Read More Here
 
diwani wa kata ya kasense (ccm) katika halmashauri ya manispaa ya sumbwanga mkoani rukwa bw.pius michael sichombo (63)amefariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi ikiwa ni siku tisa mara baada ya kuchaguliwa kuongoza kata hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa nakatibu msaidizi wa ccm wilaya ya sumbawanga mjini bw. Joel kafuge amesema kuwa diwani huyo alifariki juzi katika hospitali ya mkoa wa rukwa mjini sumbawanga kutokana na kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu.

Read more here

rip
 
Watatueleza hawa wachakachuaji wakura zetu..hadi miaka mitano iishe tutasikia mengi.............
 
jamani huyu mzee ana miaka 63 mwee bado anataka kuwa kiongozi tu...mamabo ya mugabe hayaaa.anyway Rest in Peace DIWANI WANGU MZEE PIUS MICHAELI SICHOMBO
 
Mh! Sumbawanga!!?? Amefariki ghafla??
Anyway R.I.P Diwani.
 
Labda alisahau kuwa kuna maeneo ambayo huwezi chakachua kura za wananchi na ukaendelea kudunda!!!:bowl:
 
RIP Diwani. Labda alichakachua matokeo na ule unga unga wa Chenge

hahaa na CCM wana mbunge ni mganga wa kienyeji Prof.Maji Marefu sasa huyu ndo atanyunyizia unga mwanzo mwisho.....hahaaa
 
jamani huyu mzee ana miaka 63 mwee bado anataka kuwa kiongozi tu...mamabo ya mugabe hayaaa.anyway Rest in Peace DIWANI WANGU MZEE PIUS MICHAELI SICHOMBO

Acha hizo kwani Bob Slaa ana umri gani?Ama kweli mkuki kwa binadamu kwa Nguruwe mtamu.
 
Anacheza na Lyamba lya mfipa kule huwa hawakwepeshi
 
Duh! R.I.P Mh. Pius.

Hata hivyo kufa kufaana.
 
Back
Top Bottom