Diwani wa CCM kata ya Masama Kusini jimbo la Hai amenyang'anywa gari na UVCCM jimbo la Hai na limehifadhiwa ofisi ya CCM wilaya

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.

Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.

Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
 
Sasa huko ndo Kuanza Vibaya? Je kuna kitu gani kimeanza kwani?

Ila Kama ni hawa Timu CHAWA fresh tu acha watafunane wenyewe maana hakuna hata mmoja hapo aliyepita kihalalii. Kwanzia Mwenyekiti wa Chama, Mbunge na Diwani ndo mwenye Sifa Mbaya mnoo maana alikuwa ni Gang moja na Sabaya
 
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.

Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.

Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Haya yao wenyewe , sasa wewe ndio Chawa wake ?
 
Kama ni gari lake binafsi akaripoti polisi ili sheria ichukue mkondo wake. Katendewa kosa la jinai. Ila kama ni la chama tusubiri chama kitoe tamko.
 
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.

Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.

Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Mbowe naona mtetemo wako umeanza kuchanganya watu akili huko Hai. Hongera mzee!
 
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.

Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.

Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.

Umekula kweli wewe Freeman Mbowe?
 
Hotu
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.

Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.

Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Hotuba za Bawacha zimewachanganya
 
Sasa huko ndo Kuanza Vibaya? Je kuna kitu gani kimeanza kwani?

Ila Kama ni hawa Timu CHAWA fresh tu acha watafunane wenyewe maana hakuna hata mmoja hapo aliyepita kihalalii. Kwanzia Mwenyekiti wa Chama, Mbunge na Diwani ndo mwenye Sifa Mbaya mnoo maana alikuwa ni Gang moja na Sabaya
Karma.
 
Kwanza nashangaa huyu jamaa aliponaje kwani alikuwa akitesa watu kwa kushirikiana na jambazi sabaya!
 
Back
Top Bottom