peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Haya yao wenyewe , sasa wewe ndio Chawa wake ?Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.
Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Mbowe naona mtetemo wako umeanza kuchanganya watu akili huko Hai. Hongera mzee!Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.
Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.
Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Hotuba za Bawacha zimewachanganyaHali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.
Katibu wa ccm wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Karma.Sasa huko ndo Kuanza Vibaya? Je kuna kitu gani kimeanza kwani?
Ila Kama ni hawa Timu CHAWA fresh tu acha watafunane wenyewe maana hakuna hata mmoja hapo aliyepita kihalalii. Kwanzia Mwenyekiti wa Chama, Mbunge na Diwani ndo mwenye Sifa Mbaya mnoo maana alikuwa ni Gang moja na Sabaya
Gari ni lake binafsiKama ni gari lake binafsi akaripoti polisi ili sheria ichukue mkondo wake. Katendewa kosa la jinai. Ila kama ni la chama tusubiri chama kitoe tamko.
Kuna kila dalili madiwani wa CCM Jimbo kujiunga CDMKwanza nashangaa huyu jamaa aliponaje kwani alikuwa akitesa watu kwa kushirikiana na jambazi sabaya!