Kaazi kweli kweli !!!!Ni diwani wa Kata ya Masama Rundugai iliyopo wilaya ya Hai kwa tiketi ya Chadema ndugu Elibarik Lucas Mbisse amehamia chama cha mapinduzi.
Mambo ni MotoView attachment 843190
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzee wa ndevu za mvi 2020 mazingira hayamhurumii.