TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Mapapa wa rushwa hawashughulikiwa na PCCB. Takukuru haina meno ya kuwauma wala rushwa wa CCMKugamboni wana ccm wana parurana kwa RUSHWA
Kisha atokee mjinga mmoja aseme kuna PCCB?
Ni haki yake wengi wajitokexe hasa vijanaLuca Neghesti diwani wa kata ya Msasani amejipanga kulibeba mazima Jimbo la uchaguzi la Kigamboni ambalo kwa sasa liko wazi baada aliyekuwa mbunge wa Jimbo Hilo ndugu Faustine Ndungulile kufariki dunia.
Akatembelee kwanza pale muhimbili. Mgonjwa mmoja analazwa kwa Tsh 50000 kwa siku.Ni haki yake wengi wajitokexe hasa vijana
Hivi Mloganzila wanapona siku hizi?Akatembelee kwanza pale muhimbili. Mgonjwa mmoja analazwa kwa Tsh 50000 kwa siku.
Halafu akamwambie SAMIA na awambie wananchi wake kwanza. Huko kwenye ma SGR Mbali aende mloganzila
Sizungumzii kupona.Hivi Mloganzila wanapona siku hizi?