Uchaguzi 2020 Diwani wa Tabata, Patrick Asenga achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Rombo, kupitia Chadema

Uchaguzi 2020 Diwani wa Tabata, Patrick Asenga achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Rombo, kupitia Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mtia Nia Ubunge Jimbo la Rombo Kamanda Patrick Assenga amefika katika ofisi za c ( 479 X 640 ).jpg
Huyu Kamanda ni miongoni mwa wapambanaji wanaofahamika jijini Dar es Salaam, ni mpigania haki asiye na shaka yoyote. Wana Rombo wakibahatika kumpata itakuwa baraka kubwa sana.

===
Mwenyekiti wa Kamati ya Mipangomiji, Miundombinu na Mazingira
Mjumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi
Mjumbe wa Kamati ya Mipango na Uratibu
Alikuwa Diwani wa kuchaguliwa Tabata
 
Huyu mwamba namfahamu, mwaka jana mwanzoni tulikutana segerea mwisho tulipiga sana story, jamaa ana misimamo sana, nilimuliza vip wenzako wanaunga mkono juhudi je wew vip? Mshikaji aliniahidi ilo kutokea kamwe
 
Diwani wa hovyo kabisa, Barabara za Tabata kimanga ni mahandaki matupu hakuna alichokifanya.
fikiri kabla ya kuandika upimbi mkuu, lini diwani anajenga barabara? Na Tarura wanafanya kz gn?
 
Selasini NCCRA

Pengo la Late Mzee Ndesa linaonekana kwa macho
 
Back
Top Bottom