Diwani wa Wilaya ya Kisarawe Pwani alalamika uhaba wa kondomu

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuhakikisha bidhaa hizo zinafika kwa haraka.

 
Hakuna kitu kinanipa shida kma kwenda kununua condom alaf unakuta pharmacy nyingi zinauzwa na wamama umri sawa na mama yang dah ukienda sehem nyngne unakuta mwanaume na mwanamke ila zipo hadharan hapo ukiagiza ni kila mtu anaona unaenda kufungiwa Nini, huwa nazunguka sana had nipate sehem anauza kijana mwzangu na yuko peke yake, alaf nachukua nyingi ili nisirudirudi kutafuta inawezekana Wana wenye tabia kama yangu ndo wamezimaliza wameweka akiba ndani.
 
Kweli inahitaji ukauzu flani, ila ukiwazia maisha na afya yako unajilipua tu bila kujali anayeuza au watu waliopo ndani phamacy
 
Diwani atakuwa na guest House huyu
 

Nunua box uweke stock mzee![emoji23]
 
Pole sana, hivi magonjwa yapi bado yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…