Jana niliona soudy na mwenzake yule nani sijui wana muhoji Fongo nikaskia anatajwa sholo mwamba km ndo alomtumia sms mama wema kwamba man fongo ana mtukana wakati wapo safarini to muleba kwa fiesta jamaa wakamdis sana sholo mwamba.na leo nafungua clouds tv namkuta man fongo yuko sijui na dada gani yule naona anatajwa tena sholo mwamba kwa mtindo ule ule.....sasa sijui ni kiki au ndo kuwagombanisha hawa vijana ili mmoja ashuke na mwingine apande? Ungese mtupu...!!