The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Salama wadau,
Niande kwenye hoja moja kwa moja
Mwanzoni wakati huu mradi wa mabasi yaendayo kasi unaanza hali ila ilikuwa safi kabisa,
Kwa maana mabasi yalikuwa mengi hata ukienda kituoni haukai sana na madriver walikuwa ni wastaarabu sana kuanzia kwenye kauli mpk uendeshaji.
Lakini sasa hivi mambo yamebadirika
Kwamfano ; kama Leo nilikuwa kariakoo nikasema nilikuwa na kwenda mitaa ya kinondoni haikuwa tabu sana kupata gari japo nilisubiria pale gerezani kama nusu hivi.
Ila tulipopanda hilo gari driver alikuwa anaendesha kama kapiga cha Arusha!
Kimbembe kikawa wakati nataka kurudi nimesubiria gari pale kituo cha manyanya jaribu lisaa lizima nikaamua nipande la lolote nalo ni shida nikaotea la kimara nikashuka magomeni usalama ili niunganishe pale napo nikakaa lisaa lizima na hata lilipokuja lilikuwa limejaa balaa bora hata ya daladala zetu za kawaida tu