Dizaini ya jikoni (Kitchen design season II)

Najiuliz kuhusu hizi modern desing za kisasa, ni kwa nini mashine za kufulia nguo wanaziweka jikoni?
 
Number 3 kama iko busy...sijui ilivyochanganywa na hiyo floor...
 
Kitchen design kwanza inatakiwa kuwa simple ili kuleta good air circulation, zingatia kanuni za kuzuia moto usisambae.. good design sehemu ya kupachika jiko na gas inakuwa imejengewa na tiles tupu ili moto usishike mbao za cabinets.. hayo ni machache
 
Shusha madini bado tunasubiri.. ila picha mbili za mwisho hazionekani..
Na ndio design za kijanja hizo. Utamsikia anabana pua. Ooh najenga kumbe Hara Raman ya jiko haipo
 
Najiuliz kuhusu hizi modern desing za kisasa, ni kwa nini mashine za kufulia nguo wanaziweka jikoni?
Hio ni tangu zamani kutokana na udogo wa nyumba. Kama nyumba ni kubwa kunakua na utility room mashine zinakaa huko.
 
Wakuu nyumba yangu ina open kitchen, sasa katika harakati za kupika naona kabisa harufu inaweza fika Sebuleni. Nimewaza kuweka lile nyonya moshi la kisasa. ( Kitchen hood) sasa nauliza kama kuna ambayo yanapeleka moshi/ harufu nje maana mostly nayaona ni kama yana Unit tuu ya ndani na hakuna kitu kipo nje

Pia kuna hizi Ceiling Ventilator je zinaweza kuwa msaada??


 
Swali zuri sana. Ngoja tupate majibu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…