Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

Kuna wasanii wazuri,wanamuziki wazuri na waandishi wazuri wa muziki wa Hip Hop...mwenye hivyo vyote kwa ukamilifu ni Zuzu, Nash Mc,Maalim,Mchochezi
 
Nikki anajua
 
Jamaa katoa nyimbo nyingine kali...zicheki youtube
No body is safe 3 ni kali sana. Naona g nako kajibu diss ya jamaa kwenye nyeusi interlude....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Binafsi naisubiri sana album yake hiyo December.
 
No body is safe 3 ni kali sana. Naona g nako kajibu diss ya jamaa kwenye nyeusi interlude....[emoji23][emoji23][emoji23]

Binafsi naisubiri sana album yake hiyo December.
Album ilishatoka.. vipi umenunua
 
Kiukweli fid q kwenye rank ya wagumu huwez kumueka mtoa mada yuko sahihi fid q kalegeza sio kama awali
Lakini sio kumlinganisha na Fid

Nina ngoma za zamani za Fid achana na za sasa ni kosa aisee kumlinganisha nae

N.b Dizasta ni mkali nakubali
 
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
Kwa sasa haujakosea. Yaani kizaz cha sasa .. maana wengi hawapo real. Ni business oriented. Ukilinganisha na wasanii kama akina Q tulio wazowea. Pia hata kwa kizaz hiki bado hujalinganish vzr ... Ni msanii mkali sawa ila bado wapo wakali zaidi . Pata nafas msikilize vzr huyo rapcha utaona anakitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…