Dizasta Vina Mwana Hip-hop Ndio Best Story Teller Hana Mpinzani

Sahihi dizasta vina ndiye rapa bora wa muda wote
 
Raptcha Alijichanganya Akataka Ku-battle Na Dizasta Vina.

Baada Ya Dizasta Vina Kumchana Kwenye Ngoma Ya Tribulations Rapcha Akapotea Mazima.

Mule Ndani Rapcha Amevuliwa Nguo.
Vina ali shinda battle, ila rapcha haja potea kwenye game.

Uli isikiliza 40 missed call ??, ime uza Sana Mwaka Jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…