GoPPiii.
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,792
- 3,075
Kuna wimbo mpya wa Dizasta Vina unaitwa 'Almasi' Wimbo umeshiba, kuanzia mdundo, vina, mtiririko wa mashairi n.k.
Mwimbaji ni kama anamuasa huyu Almasi juu ya maisha yake anayoishi ya anasa/starehe, kwamba awe mwangalifu juu ya future yake.
Ningependa kujua kama kuna kitu kati ya hawa jamaa wawili.
Natanguliza asante.