Dizasta jamaaaa anajua sanaa, uandishi, story telling,vina na nyimbo zina harakati. Ukianza sikiliza ngoma zote za Hatia, kanisa, Masculinefemine, confession, Ndoa, kibabu etc. Utaona unyamaaa kwa huyu mwamba. Nashangaa juzi kati watu wana mlinganisha na rapcha .Nyimbo kali nimeipakua, jamaa napendaga anavyo flow unamsikia neno moja moja. Asante mkuu [emoji120]
Kwahiyo sisi ndo tuutafute huo wimbo!?Kuna wimbo mpya wa Dizasta Vina unaitwa 'Almasi' Wimbo umeshiba, kuanzia mdundo, vina, mtiririko wa mashairi n.k.
Mwimbaji ni kama anamuasa huyu Almasi juu ya maisha yake anayoishi ya anasa/starehe, kwamba awe mwangalifu juu ya future yake.
Ningependa kujua kama kuna kitu kati ya hawa jamaa wawili.
Natanguliza asante.
Huu wimbo mbona sio mpya!!?Kuna wimbo mpya wa Dizasta Vina unaitwa 'Almasi' Wimbo umeshiba, kuanzia mdundo, vina, mtiririko wa mashairi n.k.
Mwimbaji ni kama anamuasa huyu Almasi juu ya maisha yake anayoishi ya anasa/starehe, kwamba awe mwangalifu juu ya future yake.
Ningependa kujua kama kuna kitu kati ya hawa jamaa wawili.
Natanguliza asante.
Ohoo...Hamna msanii humo. Ukitaka kujua hilo angalia washabiki zake
Kuna namna akili yako ina upungufu wa maarifaHamna msanii humo. Ukitaka kujua hilo angalia washabiki zake
Niki wa pili Yani Roma humpendi,One,Unju,Sterio,Mawenge,NashZaiid mwisho ata Dizasta vina tena?Hamna msanii humo. Ukitaka kujua hilo angalia washabiki zake
Nick ana matatizo yake binafsi.Niki wa pili Yani Roma humpendi,One,Unju,Sterio,Mawenge,NashZaiid mwisho ata Dizasta vina tena?
sasa ukitoa wasanii wa Weusi ni msanii yupi wa hip-hop wewe unamuelewa?