Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mzee wa kazi, sio kwamba umechanganya kati ya Black Maradona na Black Madonna?The term Black Madonna
Tends to refer to statues or paintings in Western Christendom of the Blessed Virgin Mary and the Infant Jesus, where both figures are depicted with dark skin.
[1] Examples of the Black Madonna can be found both in Catholic and Orthodox countries.
Nimeona mkongwe, asante kwa tag!George Betram
Pitia hapa
Sawa mkuu tafanya hivoNimeona mkongwe, asante kwa tag!
Lakini uchambuzi wako unaufanya kwa lugha ya kiingereza, wakati sehemu kubwa ya mistari uliyoifafanua Dizasta ametumia lugha ya Kiswahili, kwanini usingetumia Kiswahili tu?
Lugha ya Kiswahili itasaidia ujumbe kufikia watu wengi zaidi.
Kweli bana daahMzee wa kazi, sio kwamba umechanganya kati ya Black Maradona na Black Madonna?
Jamaa namfatilia kias so nipo interested na anachokifanya.