Dizasta

Dizasta

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Wakuu kwema?

Hivi huu mstari wa DIZASTA UNATOKA KWENYE NYIMBO GANI?

Dizasta vinna ni kina jo sabini,so wakazi kadhaa wakitongoji mkija njoo makini. naona vipepeo kwa bustani wanaruka ila sioni waku flow kama mimi.
 
kwa hayo majigambo lazima iwe no body is safe
 
Mkuu Scars kama unanyimbo ya BARUA KUTOKA BANGUI,DIZONGA(nash mcee) naimba plz...nilinunua album yake baada ya muda database ilikorapt na hyo nyimbo naielewaga sana
 
Nyimbo zote hizo nilikuwa nazo nikazi weka kwenye hard disk, siku moja nikapigwa na Ransomware kila kitu nikapoteza

Ubaya ni kwamba hizo nyimbo za Nash, nyingi nilizichukua kutokaka kwa mwanangu

Ila kama uliwahi kununua direct kutoka kwake basi unaweza kutumia namba ile ile kumcheki akutumie maana huwa wanakuwa na rekodi kwa wateja zao
 
Thanks kwa kunifungua sikuwahi kuwaza kama wanatunza kumbukumbu
 
Back
Top Bottom