Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Nobody is safe 3
kwa hayo majigambo lazima iwe no body is safe
Nyimbo zote hizo nilikuwa nazo nikazi weka kwenye hard disk, siku moja nikapigwa na Ransomware kila kitu nikapotezaMkuu Scars kama unanyimbo ya BARUA KUTOKA BANGUI,DIZONGA(nash mcee) naimba plz...nilinunua album yake baada ya muda database ilikorapt na hyo nyimbo naielewaga sana
Thanks kwa kunifungua sikuwahi kuwaza kama wanatunza kumbukumbuNyimbo zote hizo nilikuwa nazo nikazi weka kwenye hard disk, siku moja nikapigwa na Ransomware kila kitu nikapoteza
Ubaya ni kwamba hizo nyimbo za Nash, nyingi nilizichukua kutokaka kwa mwanangu
Ila kama uliwahi kununua direct kutoka kwake basi unaweza kutumia namba ile ile kumcheki akutumie maana huwa wanakuwa na rekodi kwa wateja zao