Kwa tanzania siasa inalipa kuliko sector ingine yoyote.. na ndio maana m2 anakimbilia huko ili afisadi tu na akili zinakuwa hazifanyi kazi tena zaidi ya kuwa fisadi serikalini tuna maprof wazuri sana wanaotakiwa kuwa vyuoni wanatoa lecture but wamejikita kwenye siasa coz ndio sector inayolipa sana ....haya wenzetu kenya wamesogea sana kwa sasa mwalimu mkuu lazima awe ni graduate .....hakuna m2 anayeomba matatizo na matatizo humkuta yeyote lakini kwa nini sisi tu WATANZANIA? ...kipindi cha uchaguzi no mgao hadi nikasahau shida za umeme leo hii $ENGENESCO wanasupply giza ...
Maghembe amefail sana kwenye uwaziri wake but ni mzuri sana kwenye kutoa lecture, kuna mwingine ni mzuri sana angekuwa anatoa lecture makamu wenu wa raisi lakini ye sasa hivi hana kazi ingine zaidi ya kufungua seminar na makongamano na majengo na mashule na kufunga seminar ..kama mnabisha angalieni TBC zikiisha wiki mbili hamjaona anafunga au kufungua seminar mara walsha sijui anazindua hospital naomba mods mnipige bun kwa siku 2...
yote kwa yote UOGA wetu na kutotaka kuambiwa ukweli na siasa za chuki na visasi ndizo zilizotufikisha hapa tulipo na tutasota sana, kama kweli hii nchi inaongozwa kwa misingi ya kidemocrasia na haki sawa kwa wote na hizo sifa za kupendwa na nchi kama marekani ni ujinga mtupu..(ninavyojua mimi mmarekani hanaga urafiki na m2 anataka kuchukua chake asepe) sina haja ya kulitolea mifano kwani iko mingi sana..
TISS wako kwa ajili ya nani hivi??????