Dj Ally ni nani?

Dj Ally ni nani?

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Najua Jf umu kuna watu wa kila aina, wengi wa habari wa mbea nk naomba mtueleze mnaofahamu.

Uyu Dj anae treand na Video zake akipiga miruzi, mara Anasema Friday.

Mwishoni mwa mwaka huu zimeonekana clip akigawa pesa sana mtaani.

Je ni kweli u Dj unalipa kiasi iko na elimu yake ikoje?
IMG_20230106_153602.jpg
 
U Dj ukipata jina kama lake na unapiga sehemu classic, una lipa sana mana wiki nzima kuanzia jumatano wewe unaingiza hela tena cash na huna mambo ya kodi, mfano labda kila akipiga anakunjiwa 300k kwa siku 4 ni 1.2M kwa mwezi ni almost 4.8M to 5M hapo ujaweka special events.
Sio rahisi hivyo. Huyu DJ kuna kitu cha ziada. Namwombea yale tusiyoyajua nje ya u-DJ yawe ya halali. Kwa post zake zilivyo tayari "wazee" watakuwa wameanza kujiuliza kuhusu huyu DJ.
 
Kijana mpambanaji alitoka mkoa fulani hapo kanda ya ziwa akaja dar kutafuta. Katika kujitafuta akawa dj.

So ni faida ya kujituma, kufanya kitu anachopenda ndio hadi leo kinamlipa. Ni mtu poa ukikaa nae kupiga story mnabonga furesh.

Tuishie hapo kwa hisani ya jf
 
Najua Jf umu kuna watu wa kila aina, wengi wa habari wa mbea nk naomba mtueleze mnaofahamu.

Uyu Dj anae treand na Video zake akipiga miruzi, mara Anasema Friday.

Mwishoni mwa mwaka huu zimeonekana clip akigawa pesa sana mtaani.

Je ni kweli u Dj unalipa kiasi iko na elimu yake ikoje?View attachment 2471001
ni mimi ulikuwa unasemaje kijana na unataka kujua elimu yangu ili nikupe madaftari na vitabu vyangu au 😁
 
Najua Jf umu kuna watu wa kila aina, wengi wa habari wa mbea nk naomba mtueleze mnaofahamu.

Uyu Dj anae treand na Video zake akipiga miruzi, mara Anasema Friday.

Mwishoni mwa mwaka huu zimeonekana clip akigawa pesa sana mtaani.

Je ni kweli u Dj unalipa kiasi iko na elimu yake ikoje?View attachment 2471001
Nimemjulia kwenye vibes za Marathon, kwa mara ya kwanza alikuwa ndo entertainer kwenye Dar City Marathon May, 2022, nikaja kukutana nae tena Dar nite run August 2022 na sasa nakutana nae pale wavuvi camp coco aisee jamaa anaweza kuamsha mbaya kbs.....
 
Back
Top Bottom