ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
WHEN YOU DON'T KNOW WHERE YOUR FROM YOU CAN'T KNOW WHERE YOUR GOING "PRODUCER & DJ BONNIE LUV....
(PRODUCER & DJ MAWINGU STUDIO)..
Historia ya " Mawingu studio" na Band ya Mawingu " Mawingu Band"
Nakumbuka
Kitu cha kwanza wale wasanii kwa pamoja ama Crew walijulikana kwa jina la " Mawingu Band" lakini prodution ilifanyika katika studio za " Mawingu studio"
Producer ni mimi mwenyewe Dj bonnie luv au jina halisi nje ya sanaa naitwa "Boniface kilosa" ambae niliproduce nakufanya Dram programing na keyboard nimepiga mimi ..
Halafu Base alipiga member mmoja ambaye anaitwa " Robert sure" Ama "Bob sure " Additional keyboard alipiga anaitwa mshabaa.
Na ile vocal ya yule Dada anaitwa " pamela" wakati ule yenye alikuwa mwanamuziki wa Tanzanite kwakuwa tulikuwa Tunaishi kama jilani kwahiyo mara nyingi tukawa tunajumuika nae .. Anaitwa " pam"
Waliofanya Rap katika hiyo Ngoma "Oya msela" ni sindila seli & osmani Gaidi.. verse ya kwanza kabisa amefanya Osman Gaidi na verse nyingine mimi & sindila Gaidi
Walioimba zile Back vocal ni mwana Dada pamela , koluba mwingila na mimi . Hao ndio walikuwa ni members wa mawingu kwa wakati huo ..
Kama nilivyokueleza wale wote tulikuwa Tunaishi kama marafiki kwa wakati ule , mara kwa mara tulikuwa Tunapenda kuwa pamoja tunakutana kila siku , Bahati nzuri lili Kundi liliundwa kwa sababu wale wote ambao nimekutajia walikuwa Tayari na intereste ya Music ( kufanya Muziki ) , na Tulikuwa tunakaa pamoja hata kabla ya uwepo wa radio , kwa mfano msanii kama bob sure alikuwa na Desturi kila tunapokutana anakuja na kitaa lake, anapiga lile kitaa lake tunasikiliza na kumshauri pia..
wazo lakuwa na Group lilianza kujekeka katika vichwa ama fikra zetu hata kabla ya jumuiya ya Group letu Bado kuanzishwa.
Tulikuwa Tayari tuna waza kwamba tuna anza kutengeneza Crew...
Yo! Rap bonanza ilianzishwa na dj mmoja sasa ni marehemu alikuwa anaitwa Young kim.. alikuwa na washikaji zake na wakaji organize wakaanzisha hicho kitu lakini mimi nilikuwa nahusika kwa kiasi kikubwa sana , mimi nilikuwa nina host kama dj nilikuwa ni dj katika Tamasha la Yo! Rap bonanza lakini kwenye upande wa utendaji na mambo mengine ya uendeshaji wa Tamasha alikuwa anafanya yenye mwenyewe " Young kim" ndio alikuwa muhusika Mkuu .
Na lile Tamasha lilifanyika mara kadhaa , lakini hilo siwezi kulizungumzia sana kwa maana mimi nilikuwa sio muhusika Mkuu , mimi nilikuwa tu nasaidia kama dj kwa wale wasanii na wadau mbalimbali ambao walikuwa wanakuja kushiriki katika hilo Tamasha ,
Lakini muhusika Mkuu alikuwa ni Dj " Young kim" alianzisha na washkaji zake kampuni yake inaitwa " Kim & boys ..
Shindano hili kiukweli lilisaidia sana kuwafanya vijana kukutana na kushirikiana pamoja ,
Maana Enzi hizo watu walikuwa Wana Rap zaidi kuliko kuimba,
Ilikuwa kama hali fulani ya mabadiliko katika kiwanda cha Burudani ( industry) Tanzania kwa maana vijana wengi walikuwa wanatoka kwenye kucheza Maana kumbuka Enzi hizo kabla ya " Yo ! Rap bonanza..
Ama vijana wengi kuingia kwenye inshu ama Mambo ya ku Rap kulikuwa na kitu maarufu sana Enzi hizo kilikuwa kinaitwa " Break Dancing"
Kwa Bahati mbaya hatuna kumbukumbu za video na picha za matukio haya makubwa yaliyotokea katika kiwanda hiki cha Muziki Tanzania..
Lakini "Break Dancing" nacho kilikuwa ni kitu kikubwa sana kwa vijana miaka ile ya zamani 1980 +,
Kwa mfano Tamasha la " Break Dancing competition" lilikuwa linafanyika katika Ukumbi wa " kauli mboe" ambao ni Ukumbi mdongo sana , Ukumbi ambao capacity yake ni idadi ya watu mia mbili au mia Tatu kama sikosei ..
Tayari Ukumbi huo unakuwa umekwisha jaa ..
"Break dancing"
Kilikuwa ni kitu kikubwa sana kwa vijana kwa wakati ule ila changamoto ni namba ya uwazirishaji katika jamii kwa maana ilikuwa bado ni ndogo , nadhani hata population ya watu ilikuwa Bado ni ndogo.
kwa mfano moja ya matamasha ya Yo! Rap bonanza ninalolikumbuka mimi ambalo lilipata umaarufu mkubwa na kusikika kila pembe nakumbuka lilifanyika katika Ukumbi unaitwa " Oldies Cenema" sidhani kama Ukumbi huo ulikuwa unaingiza watu hata mia mbili , lakini kilikuwa ni kitu kinachozungumzwa na vijana wote mjini wakikutana vijiweni..
I can Tell U most nyakati zile asilimia kubwa sisi ma Young Gangsters ( vijana wa zamani) Tulikuwa tunafahamiana , kwa mfano ulikuwa una Rap una kaa " ilala " utakuwa unajulikana ,..
kama una Rap unatokea " Temeke" utakuwa pia unajulikana , ilikuwa kama ni Harakati za vijana ambao walikuwa wanakutana na kufahamiana & kubadilishana mawazo nk..
Enzi hizo kulikuwa hakuna haya mambo ya ma beef , beef na Ma ugomvi Yaani! leo ukiRap , uki mchalange mtu ukimshinda unakubalika na washkaji street na inakuwepo Respect pia kwa 💯..
Yaani " Rap Enzi hizo ilikuwa na hiyo Culture Tofauti na sasa, ilikuwa na Utamaduni huo Yaani wewe ukiwa fundi ama mkali wa uandishi wa lycris , michano na mambo mengine kuhusu muziki katika lile Eneo kwanza unakuwa una Heshimika na wezako kwa kile ambacho unakuwa unakiweka Mezani kutokana na Uwezo ulionyesha kwao kwenye freestyle battle mbalimbali mtaani mkikutana..
Sio kama kwa vijana wa sasa kila mtu anaweza kukataa Tu.. ingawa ukweli anautambua fulani ni mkali kuliko fulani Ama ni mkali kuliko yenye ..
kuna mtu mwingine kila kitu anataka Tu na kupelekea
Ajitweze..
Kwa Sababu ni nani? Anayesema kwamba Huyu ni mkali!
Au mimi ni mkali ..
Kwahiyo Yo! Rap bonanza ilileta chachu kwa vijana ya kusema kwamba kuna watu watakaa na kuwasikiliza kwa namna moja ama nyingine kwa kutazama vingezo hivi na misingi hii na hii..
Na watatoa majibu kwamba huyu msanii ndio ambae anastahili Taji katika lile Eneo ( real mc )..
Sina uhakika kama "salehe jabir aliibuka kuwa mshindi katika hilo Tamasha .
kumbukumbu zangu hazinipi hiyo picha kwamba salehe jabir alikuwa mshindi wa " Yo! Rap bonanza .. lakini salehe jabir aliweza kuja kuwa Maarufu Baadae .. Maana alikuwa na Uwezo mkubwa sana kwenye Ku Rap Yaani!
Aliweza ku Rap kiswahili lakini aliweza kurekodi kwenye Tape,( studio ) project za mwanzo kabisa kufanya ..
sidhani kama hata salehe jabir aliweza kushiriki katika hiyo Yo! Rap bonanza ..
Actually salehe jabir hakuwa ana Rap kiingereza ..Salehe jabir alichofanya yenye alichukua nyimbo maarufu kama mbili hivi ..
Na nyimbo mbili ambazo ndio zilikuwa maarufu sana moja wapo ni Vanilla inaitwa "ice ice Baby" na nyingine ilikuwa ile "all peoples is property" "p .p" ya Naughty by nature..
maana salehe jabir amekuja kwenye ( industry) 1992 /4 kwahiyo kwenye hizo Harakati za "Yo! Rap bonanza" maybe alikuwepo ila sina kumbukumbu Vizuri katika hilo ..
Salehe jabir alitoa Album na alienda kuiuza kwa wahindi( wadosi) .
unajua zamani tulikuwa tunauza Kazi kwa wahindi.
wasanii walikuwa wanauza project zao kwa hawa wahindi na hiyo Album kiukweli iliwafikia watu Wengi sana Enzi hizo.
kitu kizuri alichokifanya salehe jabir Enzi hizo alifanya Rap kwa lugha ya kiswahili , kwahiyo messege ilikuwa inakwenda moja kwa moja kwenye jamii kutokana na lugha iliyotumika ya " kiswahili"
na alichofanya nyimbo kama ya " ice ice Baby " yenye aliweza Ku Rap kwa kiswahili lakini hakuhi tafsiri ..
Haku Tafsiri "ice ice Baby" yenye Salehe jabir alichofanya alichukua ile " Tune ya ice ice Baby akaweka maneno Yake ,
Yaani alitumia Instrumental/ mdundo wa nyimbo ya ice ice Baby na kuweka maneno Yake juu ya huo mdundo ..
na kwakuwa nyimbo hizo miaka hiyo ya nyuma ( way back in 1990s)
zilikuwa maarufu na zinapendwa na watu wengi , hata kwa mtu ambae ajui lugha ya kiingereza waliipenda kutokana na ile beat na zile Tune za wimbo huo.
Sasa watu Walipokuja kusikia zile verse za salehe jabir tena kwa lugha ya kiswahili ..
nyimbo hiyo moja kwa moja iliwateka watu na kutokea kuipenda sana...
Kila kona ikawa ni " salehe jabir with " ice ice baby"🔥🔥🥁
Kwenye upande wa wasanii Enzi hizo waliotaka kushiriki walikuwa ni wengi lakini siwezi kusema chochote katika hilo kwa maana nisije kuonekana wengine nimewapendelea kuwataja na wengine sijawataja..
nafahamu hii kitu imefanyika Takribani miaka 30 iliyopita . Toka 1990 mpaka sasa jiulize? ni miaka migapi na kuna baadhi ya wasanii kwa Ubora wao kwa nyakati zile miaka ya 1990 walikuwa ni wakali ama ni Bora kwenye list ya wasanii wanaofanya Rap ila leo nisiposema niwataje kwa upande wao itakuwa sio Tafsiri nzuri watasema Dj bonnie anaupendeleo ..
na mimi sitaki kuonekana katika huo mtazamo..
Nazungumzia Yo! Bonanza maana hata mimi nazungumzia katika misingi ambayo mimi mwenyewe nilikuwa napenda hicho kitu , ni Tofauti kabisa na sasa hivi unakuta kuna hizi media house's.
media house's hawataki kusema ukweli kwa sababu watu wanaukambi / upinzani na mimi sitaki kwenda huko ila naimani nao itafika time watajirekebisha na kuweka vitu sawa , ushabiki uwepo katika kiwanda cha Muziki ( industry)
lakini sio upinzani haiwezekani kila kitu wewe ni kukataa Tu hata palipo na Ukweli..
sasa hivi kuna vitu vingi sana Vimeibuka katika Tasnia hii Ya Muziki wa Bongo fleva kama Vile uchawa ,..
Vile vitu ambavyo sisi wakongwe Enzi hizo tulikuwa tunavisimamia kama misingi/ Element katika Tasnia hii ya muziki wa Bongo fleva.
vimewekwa nyuma na vitu ambavyo tulikuwa tunavikataa kuwepo Katika hiki kiwanda cha Muziki ndivyo vimewekwa mbele Ama vimepewa kipaumbele..
Kila mwandishi anaandika ama kufanya jambo kutokana na Hisia zake na sio fact za msingi kuhusu hicho kitu ama jambo alilolizungumzia katika stori .
Katika historia ya Rap ama historia ya Bongo fleva Nchini Tanzania kuna vitu viwili katika maisha yangu Huwa naona ni mapinduzi makubwa katika historia ya muziki.
na Haya yote yamefanyika katika studio za "mj prodution" kwa Producer master jay , mapinduzi mawili makubwa ni kama ifuatavyo.
inshu ya kwanza ni kuweza ku sampo .... Unajua mimi Baada ya kuanza kufanya maandilizi ya kufungua Radio " Mawingu fm" ( clouds fm)
mwishoni mwa mwaka 1998 kwenye masuala/ mambo ya prodution kama producer nikawa nimesimama kwa muda .
Lakini master jay kuja kufanya mapinduzi ya ku sampo nyimbo ya zamani ipo mfumo wa Band style ( Muziki wa Dansi) na kuwafanyia ile nyimbo kwanza unit inaitwa " msafiri" mimi naona ni mapinduzi ya kwanza na ya ukweli toka kwenye upande wa prodution Hapa Bongo ..
Baada yakupiga piga tu keyboard na sampling of culture ya nje kwa Muda mrefu tukawa tumepata cha kwetu...
Makwizi org ambae mwimbaji alikuwa ni msanii mzee kiki " ndio master jay na Crew ya kwanza unit wakawa wame sampo hiyo Idea na kuja na Ngoma inaitwa " msafiri yenye fleva ya Rap 1996 kama sikosei..
Kwenye sehemu ya kiki kwenye chorus aliimba " k singo" .
Verse ya kwanza amefanya chief ramson " na verse ya pili amefanya marehemu D rob
Maana master jay alianza kabla ya Bongo Records lakini nadhani wakati ule " Mj prodution" wanatoa hiyo kazi , Bongo records ilikuwa bado inajitafuta halafu pinduzi la pili ni ( ninaposema mapinduzi simaanishi kwamba vitu vya nyuma vinakuwa vibaya hapana )
Yaani! maboresho katika muziki ilikuwa ni kwa msanii professor jay alipokuja na wimbo wake wa " Chemsha Bongo" ile mzee wangu iliwafanya mpaka wazee wetu kubadilisha fikra & mawazo yao.
muziki wa Rap / kizazi kipya kilikuwa ni kizazi kipya kweli kweli Enzi hizo .
Kwa sasa mimi natafuta miaka 54 ukinirudisha miaka ya 1990 mimi nilikuwa Bado kijana mdogo miaka kama 20 hivi na ndio harakati zilianzia hapo mwanzoni mwa miaka ya 1990,
Muziki wa Rap na hii kuja kuitwa muziki wa Bongo fleva ni maboresho mengine ya Tatu, na ya nne lakini kabla ya Bongo fleva kuwa Bongo fleva pinduzi lingine lilikuwa la Bongo Records la p funk majani a.k.a kinywele kimoja kitendo cha wasanii wengi sana kupita kwenye mikono yake akiwa kama producer katika studio yake ya " Bongo records"
Crew kama vile "Kwanza Unit"
jina lipo kwenye lugha ya kiingereza na kiswahili ( lipo kote kote) lakini kabla ya hapo hili kundi la kwanza Unit ni Muunganiko wa makundi
( makundi ama nguzo Tatu) na wasanii wengine walikuja kama msanii mmoja mmoja..
Kwanza unit iliundwa na wasanii wa crew moja hivi Enzi hizo inaitwa villain Gangsters huku ndio ametokea msanii kama Chief ramsone & dj Eddy na mshkaji mmoja yupo Marekani kwa sasa..
Walikuwa wanajiita " Vallain Gangsters" Hawa walikuwa ni watoto wa ilala ingawa huyo mshkaji alikuwa anatokea Temeke mitaa ya chang'ombe , halafu kundi lingine lilikuwa linaitwa
"Raider's posse" watoto wa osterbey ( pale Kati) hapo ndio walikuwepo kina marehemu niga one... Na kwa Bahati mbaya alifariki kabla harakati Hizi za kurekodirekodi Bado hatujaaza ..( rest in peace)
Kwa Maana hii Rap Ama Muziki wa Rap ulikuwepo hata kabla sisi bado tulikuwa hatujarekodi nyimbo yoyote Studio ,..
mimi nawafahamu baadhi ya wasanii ambao walikuwa wa Mwanzo kabisa kabla hata ya kina salehe jabir...
Kuna mshkaji wangu mmoja alikuwa yupo osterbey anaitwa " fresh x e" edo mtui,.. alikuwa mc hatari sana jamaa ana Rap kama vile Generation ya mwanzo Mwanzo kabisa ya Makundi ya mwanzo ya Rap nchini Marekani..
Mtaa Wa Upanga alikuwepo mshkaji mmoja anaitwa Young kools . Wote hawa walikuwa Wana Rap kiingereza kuna mmoja tu alikuwa ana Rap kwa lugha ya kiswahili anaitwa 'Nicko " Enzi hizo ukienda " Tanzanite pool side" masela na washkaji waliohudhuria ma Event mbalimbali Enzi hizo walikuwa wanamsikia mara moja moja ana Rap kiswahili .
Salehe jabir Hakuwa ana translite lakini alichukua tune na kuweka pale. Na ilionekana kama amecopy lakini kiukweli hakuzungumza tafsiri ya kile kilichozungumzwa na msanii vanilla katika wimbo " ice ice baby" ....
Kwahiyo hata sisi kwenye Muziki wa bongo fleva ilikuja baadae maana zamani sisi tulijua ni Aina ya muziki wa kufoka foka tu , kuna majina mengi sana Hapa katikati ulipewa muziki wetu .
Mara Muziki wa kufoka foka ikaonekana kama vile jina hili jina sio zuri na hauna Tafsiri nzuri , ndio likaja jina lingine la kizazi kipya .
Huo muziki wa kizazi kipya umekuwa refine kuja kuwa chini ya huu mwavuli unaitwa " Bongo fleva"
Halafu unakuja Ama unakutana na vijana wengine Wanao Rap na kudai / kusema eti wao ni Mwana Hip Hop na sio wasanii wa Bongo fleva ..
Lakini Bongo fleva sio Hip hop tu inahusisha pia hata Hawa wanaoimba , hata sasa hivi hawa wanajiita kizazi cha Amapiano wanaimba kwa lugha ya kiswahili lakini Bado ipo chini ya mwavuli wa Bongo fleva....
Sisi tu tukubali tu kwamba Bongo fleva ni muziki wetu wa vijana , unajulikana kama " Bongo fleva "
upo katika categories tofauti tofauti kama zuku na nk.
Wameimba kina mr paul ..
mr paul nakumbuka ametokea kwenye crew moja inaitwa " four Cools fleva " ameimba nyimbo ile ya zuena ..
alifanya cover ya wimbo huo lakini lycris ni zile zile sema amebadilisha beat kaweka kwenye mtindo wa zuku , tukija kwenye mashairi ni yale yale tu.
yote yameandikwa na marehemu marijani Rajabu .
Mtu kama lady jay dee na wimbo wake " mhongo wa chang'ombe hii ni cover ya wimbo wa marehemu bi kidude na wasanii wengine kama mwana fa na wengine wengi tu wamefanya cover ....
Hata kina marijani waliiga kwenye Muziki kutoka Congo , na watu wa Congo walikuwa Wana wa copy watu kutoka walatini black America, ..
Ukisikiliza watu wa Congo wana Vionjo vya Asili ya nyumbani kwao,
Hata hizi band pia watu hawajui muziki kiuhalisia lakini wanataka kuonekana ni wataalamu wa muziki, ukitaka kuwa mtaalamu inakupasa uwe umepitia hiyo Taharuma .
Hata ukisikiliza band zetu hizi .
Kuna nyimbo nyingi sana zimepigwa modemu music ambazo ni hizi Rhumba , lakini vionjo vyake ni vya miziki Asilia kutoka kwenye makabila yetu hapa hapa Tanzania..
Ukiwasikiliza kina chiliku maneto wa vijana jazz Enzi hizo alikuwa anaimba nyimbo nzuri ukisikiliza unakuta kuna Element za nyimbo za Asili za makabila kutoka mkoani Tanga.
Kuna vitu vingi sana vimefanyika hapo nyuma ila watu hawazungumzi kabisa wanakimbilia kwenye Hip hop & bongo fleva.
Hizi historia zipo na zimefanyika sana kwenye Miziki yetu ya Band Enzi hizo..
Sisi ma Producer Enzi hizo Tulikuwa tuna Element ya kushirikiana katika kutengeneza nyimbo mbalimbali kwa wakati ule ndio maana ladha na test zetu zilikuwa tofauti ,
Inakuwa ni nyimbo moja ila imekutanisha mawazo ya watu wengi tofauti tofauti..
Kwa mfano studio ya " Mj production" kwa master jay alikuwa ana unit Tatu pale , alikuwa ana timu .
Marlone linje alikuwa anafanya Kazi nyingi na band , yenye mwenyewe master jay na saidi commorie kipindi hicho saidi commorie akiwa A part of members wa band ya Fm academia akiwa ni mpiga kinandaa wa Band hiyo na walikuwepo kina marijani .
Kwa mfano marijani alitoka kule akaja kwangu ," Mawingu studio"
aliona kama ni fursa kwake ndio maana mimi na master jay tulikuwa tunashirikiana sana pamoja na p funk majani pia .
Kuna baadhi ya nyimbo nimefanya kwa master jay mj records na zingine kwa p funk majani
Nyimbo moja nilifanya kwa p funk majani " Bongo records " ni nyimbo ya mabanga fresh Ft sir nature " inaitwa mtulize" .. lakini nilitengeneza kwa kushirikiana na p funk majani akiwa yupo studio kwakuwa p funk majani ndio anaelewa "Technician" .
Enzi hizo Kulikuwepo na hao ma producer na station musician ( wanamuziki wahusika) kwa mfano kulikuwepo na wanamuziki sio ma producer mfano msanii / producer biz man
Kuna watu kama kina biz man huyu alifikia level ya kuwa producer kwa sababu alikuwa ana Uwezo wa kuja na idea na kila kitu from za beginning to the End..
Kisha wewe unamfanyia tu prodution.
Nyimbo nyingine mfano mimi nilirekodi kwa master jay inaitwa " Rudi mpenzi " ya big doggy posse .
Marehemu Ruge na joseph kusaga walipeleka project ya "Smoth Vibe" ya lady jay dee kwa master jay ..
Katika wimbo wa umuhimu wako" wa lady jay dee katikati kuna sauti ya juma nature ana Rap kitendo cha juma nature kwenda kushiriki kule ndio mimi nilikuja na ile idea kwanini msimchukue huyu Dogo ni mzuri , maana kafanya makubwa kwenye mtulize ya mabanga fresh kwahiyo yupo vizuri mchukueni..
Kwahiyo ushirikiano wetu Enzi hizo ulikuwa mkubwa sana sijui kwakuwa tulikuwa wachache na tunafahamiana pia tofauti kabisa na producers wa sasa ..
Miziki yetu kiBongo Bongo ipo mingi mingi tu..
lakini kwanini tunataka kwenda tu kwenye Bongo fleva , tunaaze kulizungumzia hili kwamba Bongo fleva ni ya kwetu ama hapana ,..
kuanzia muziki wa Rhumba tumeiga kila kitu tumeiga hata tukianzia kwenye Miziki ya Band , hata lugha yetu sisi tumeiga , lakini baadae kimekuja kuwa cha kwetu kwakuwa tunaviwekea Element ama uhalisia wa kwetu sisi ...
, sisi tunapopiga muziki wetu tuna limitione zake tofauti na mtu anapiga solo , blues lakini ni vitu vyetu hivi.
Hata udj tumeiga udj ujaanzia hapa unataka kusemaje udj ni Asili yetu sisi ..
kwahiyo kama tumeiga kitu na tukaki refine tukakiweka kwenye culture yetu hicho ni chetu.
Ebu Tazama hata cinema zetu zimefanana na baadhi ya cinema kutoka nje , kwa mfano mimi nime produce mh naibu waziri " mwana fa" uki mhoji nyimbo yake " mimi na mabint" alilipata kwa fedelo star wa omy x .. sisi kweli tumechukua ila hatujacopy tumekuja ku adupt ,..
.
kama salehe jabir alichofanya mwanzoni kabisa miaka ya 1990..
Hata idea ya kuanzishwa kwa Crew ya kwanza unit ilikuwa Tayari imekwisha fanywa nje kwa wezetu Ulaya huko..
kama unawakumbuka Crew kama " fleva unit Crew"..
ambayo ilikuwa inakutanisha wasanii kama Mc right ..
Hata hao kina kim & boys wameliiga nje ..
Kwa mfano East coast ya Bongo wale Wasanii kina Ay, Mwana fa, king Crazy Gk, o ten , pauline zongo nk..
walikuwa wanajitambulisha kwamba wao wametokea mtaa wa Upanga Jijini Dar Es salaam..
lakini katika hiyo hiyo Upanga inakuwa ni upande wa East ...
Lakini pia nimemkumbuka mdau mmoja mkubwa katika kiwanda hiki cha Muziki anaitwa
"Joseph kusaga" Mdau huyu ana Mchango mkubwa sana ndani na nje ya kiwanda cha Bongo fleva ..
ameaza inshu / masuala & harakati za mambo ya Internterment kwenye ma disco Tangu miaka ya 1980 + Enzi hizo ..
Itaendelea..
UKWAJU WA KITAMBO
0767542202