princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Home boy Omary Said aka DJ D-Ommy, Mr.Washawasha, The International DJ, Jitu nene kutoka Mjengoni Clouds FM the people's Station. Huyu chalii ana tuzo Mbili mkononi za kimataifa alizonyakua hadi sasa kama DJ bora barani Afrika.
Pia amekuwa akiburudisha Nje ya nchi kama South Afrika, Marekani, Nigeria na kwingineko Kwenye clubs na Tv na Radio shows kaa izo.
Yeye na DJ Zero aka Zigidi, DJ kiduara, Undisputed one wamekua wakikisanua kinyama Pale XXL kupitia session zao, All hands on decks na Ngoma za Town(DJ D-Ommy) Zero Effects na ngoma za Town
(DJ Zero).
Kilichonifanya niandike huu uzi ni kwanini D-Ommy ananyakua tuzo akati DJ zero hata kwenye Nominantions tu hayupo na naona wote ni wakali??
BTW niliwaza huenda Playlists za DJ Zero ambazo huwa zina ngoma kali tu(Hits) ndo kinachomwangusha compare to D-Ommy ambae hupiga ata zisizojulikana, kwenye Scratching pia Zero yuko Juu sana, Swali ni Why DJ D-Ommy and not DJ Zero??
Karibuni kwa maoni.
Ahsanteni