BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi uchumi ushayumbani nani kwani
Ni DJni nani kwani
Ili nalo la msingi. Ubunifu zero. Ndio maana redio nyingi vipindi vinafanana kuanzia maudhui, utangazaji hadi muda.Kwahiyo hizi stations mpya hazina uwezo wa kutengeneza vipaji vipya hadi majina yanakuwa ni yale yale huko kwenye media. Hii inchi siku hizi upumbavu umekuwa mwingi sana aisee.
Anaenda kusagika.Anatoka kwa Kusaga anakwenda kwa Kusaga.
Anatoka kwa Kusaga, anakwenda kwa Joseph. Iweke hivyo mwenye kuelewa ataelewa..Anatoka kwa Kusaga anakwenda kwa Kusaga.