Dj Fetty atangaza rasmi kuacha kazi ya Utangazaji

Kilichomuondoa ni kukataa kwake kuipigia campaign ccm na magufuli wake kwenye mitandao ya kijamiii...Kila la kheri Fetty ..hope tutakupata Efm or Azam Radio...# Ruge clouds sio ya mama ako

Inaweza kuwa kweli, huyu binti ana standard zake na principles anazoziamini na kuzisimamia bila kuyumbishwa!

Toka amemaliza degree yake ya habari amekuwa na fikra pevu, huru na chanya sana! Kwa fikra zile hasingeweza kudumu kwenye kipindi kama xxl. Kuhusu kampeni kuna Adam yeye ukimsikiliza tu unaelewa anaangukia wapi, mbona hafukuzwi kama tatizo ni kampeni kwa wapinzani?
I
Misingi ya clouds ilibomoka alipo ondoka Reuben akiwa creativity manager, hakuna jipya tena.
 
Sijawahi kumkubali huyu dada hata siku moja panoja na redio yao hiyo.....

Milard Ayo akiondoka kipindi chake atapewa Fredwaa...
 
Combination ya Fetty na Mchomvu pale studio zilinivuta kuifuatilia XXL kila siku,there's no reason to follow Clouds Radio anymore +their close association with CCM,it's enough to turn me off now.
 
everything which you're doing is capital in globalisation no matter what but reality will stand,still everybody has its own unique...maisha si clouds pekee lets her go another side to try other things.
 
Nilitaka uliza nani anamla?

Councillor Salaah, boss wake mwanaFa mmiliki wa Silent Ocean wasafirishaji wakubwa wa mizigi toka China Kuja TZ..》》》》》SwaliJingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…