Ntakasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 1,428
- 456
Leo kwenye kipindi 'pendwa' cha mchana XXL(Clouds Fm) walikuwa wanazungumzia uwekaji wa malengo na ufanikishaji wake katika mwaka 2013 na umuhimu wake.....baada ya kuhoji watu mbalimbali ikiwemo wenyewe watangazaji ndipo mtangazaji huyu maarufu alipofunguka na kusema yeye alipanga kuolewa na kupata mtoto ndani ya huu mwaka lakini anaona kama lengo lake halijafanikiwa.....Hakusema kama ana mchumba au anatafuta but hili ndio lengo lake kubwa ambalo kwa sasa inabidi angojee mpaka 2014::::::
Namtakia kila la kheri Fetty The Best Na Inshaalah Mungu Atatimiza Lengo Lake!
Namtakia kila la kheri Fetty The Best Na Inshaalah Mungu Atatimiza Lengo Lake!