kipindi 'pendwa'?..my foot
yaani wazuri nao wanapigwa chenga kuolewa,duh
Kinapendwa kweli kweli.....live with that fact!
labda utuambie research uliifanya lini
resaerch methodology uliyotumia
the whole population or a sample?if a sample,which sampling technique?
ukijibu hayo maswali uje kuongea na mimi na sio ku-generalize mambo.
HaaaHaaaa........Chuki ni ugonjwa aiseeee......ooooohlala....some ishhhhhh!
Ila kiukweli fetty mkali.
hamna kitu pale!
kipindi 'pendwa'?..my foot
hamna kitu pale!
unaumwa wewe,badala ujibu maswali yangu unaleta taarab,au hukuelewa nilichoandika,well,save your breath you are not on my level.