Dj Fetty Wishes To Get Married Soon!!!

unaumwa wewe,badala ujibu maswali yangu unaleta taarab,au hukuelewa nilichoandika,well,save your breath you are not on my level.

We mzee,isue hapa ni kwamba ur so intellectual,the style na mfumo wanaotumia kipindi cha xxl myt not b ur favourite,but it is not a conclusion. we kama unapenda vipindi vyako vya tbc,endelea navyo!! giving you facts, first,98% of all unemployed which involve a high % of the working population,Xxl is their number one.second,more than 98% of people who are less than 40 years old residing in urban areas love xxl.100% of watu wote waliokulia mjini and have exposure love xxl. where do you fall?? we endelea kumsikiliza charles hillary BBC...Mengine yakaushie..
 
Huyu dada ni mzuri,hata wasanii wetu wa bongo fleva na bongo muvi hakuna anaemkaribia nini kumkuta.penye ukweli lazimz tuseme na mtu akiwa na sifa zake lazima tumsifie.
 

stupid boy,hiyo ndo research..now let me let you in on a little secret,hakuna dj anayeniimpress these days,nikitaka kusikiliza music nachukua collection yangu home naweka kwenye mziki mnene,enzi za kusikiliza mziki zilikuwa enzi za akina dj jd,rankim ramadhan,bon luv and all of them,siku hizi kuna wabana pua and hiphop is dead
oh,kitu kingine,sifagilii bongo fleva.,am out siweki ligi na ignorant kama wewe uliyekuja mjini kwa shemeji yako mwaka 2007.
 
labda utuambie research uliifanya lini
resaerch methodology uliyotumia
the whole population or a sample?if a sample,which sampling technique?
ukijibu hayo maswali uje kuongea na mimi na sio ku-generalize mambo.

hahaaa utakalia ubishi tu,lakini kitabaki kuwa pendwa na redio itabaki kuwa SUPER BRAND nikikukera ongea unalojickia ila habari ndo hiyo
 

eti kisa shangazi lady jay dee alisema ilimnyonya kimuziki
 

Good Response Sir!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…