Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Yule mtangazaji na Dj mahiri wa kike wa kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha redio ya watu Clouds Fm amekua kimya mda mrefu sana sijamsikia akitangaza, Je ameshasepa hapo mjengoni?
Na kama kasepa kahamia redio gani na sababu gani imemfanya aondoke pale? Na mbona hiyo redio watangazaji wengi wanaondoka pale kunani siku hizi mjengoni?
Nawasilisha..
Na kama kasepa kahamia redio gani na sababu gani imemfanya aondoke pale? Na mbona hiyo redio watangazaji wengi wanaondoka pale kunani siku hizi mjengoni?
Nawasilisha..