Dj Fety wa Clouds mbona hasikiki redioni kunani?

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Yule mtangazaji na Dj mahiri wa kike wa kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha redio ya watu Clouds Fm amekua kimya mda mrefu sana sijamsikia akitangaza, Je ameshasepa hapo mjengoni?

Na kama kasepa kahamia redio gani na sababu gani imemfanya aondoke pale? Na mbona hiyo redio watangazaji wengi wanaondoka pale kunani siku hizi mjengoni?

Nawasilisha..
 
Labda anasoma na kufuta kwenye post yako sehem unapofanya kazi siyo ishu sana yanaweza kuwa ni maamuzi tu.
 

Nukta tano vingine huku sio applicable ndugu yangu
 
Wasiliana na uogozi

CONTACT P.O. Box 31513, Dar es Salaam, Tanzania. +255 222 781 445​
 
Kama ML Chriss ameondoka pale vipi hawa ambao wamekuta clouds imeshakuwa clouds ....all the best Fetty ....unaweza ...
 
Kwani clouds FM ndo mama yakee au babaa yake?acha maswali dhaifu.
 
Hata mchomvu hana mda mrefu cloudz atasepeshwa na ruge maana kazidisha pumba ndo maana huwa some tym anachelewa saanaa kwenye xxl
 

Yupo likizo
 
Hata mchomvu hana mda mrefu cloudz atasepeshwa na ruge maana kazidisha pumba ndo maana huwa some tym anachelewa saanaa kwenye xxl

Mchomvu ali pewa ahadi na ruge ataenda China amsomeshe mambo ya fashion Ana mkubali
 
ata mimi nimemmiss sana Fetty akiondoka XXL itapwaya sana, juzi alienda studio wakati xxl ikiendelea kina dozen na adam wakawa wanamtania kama kanenepa eti yupo maternity leave sasa sijui kama ni kweli. Ila fetty namkubali sana
 
Fetty kaolewa na mwarabu .
Kamuachisha kazi na kamfungulia duka kubwa sana la nguo linaitwa fettylisious.
Tayari kashaacha kazi rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…