kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Kiukweli DJ Khaled ni kati wa wadau wachache wa mziki wa rap wanaoitendea haki hii tasnia. Kama wewe ni mpenzi wa rap ile style ya miaka ya 90s hadi early 2000s basi utakubaliana na mimi.
Jamaa huwa anatufungashia sauti za legends wa rap zinazotoa mashairi yenye vina vilivyopangiliwa kwa ubunifu wa hali ya juu pamoja na maudhui ya yasioburudisha tu bali kutia moyo na kuongeza ujasiri.
Rap za 90s hadi early 2000s zina maudhui tofauti sana na wasanii wapya wa siku hz. Dj Khaled anakuchanganyia legends kama JAY Z, Rick ross, lil wayne, NAS etc... kwenye ngoma zake na akitoa ni inakua bang kweli kweli.
Yote kwa yote hii album yake mpya ya 'GOD DID' katupa heshima mashabiki wa mziki wa rap. Hasa hasa kwenye ngoma ilobeba jina la album 'God Did' ambapo katuletea JAY Z, Rick Ross na Lil wayne, mistari kwenye hio ngoma ni balaa, kwa waloisikiliza watashuhudia hilo
Huwa nafikiria kwa nn na hapa africa, specifically Tanzania asitokee Dj au Producer mmoja afanye kama dj khaled. Tuna veterans wengi wa muziki wa rap ambao bado mashabiki tuna hamu ya kuwasikia kama vile Mr Blue, John makin, Darassa, na wengine wengi...
#weTheBest
#theyPlayThemselves
#God_Did