DJ Khaleed aonesha live Snapchat mkewe akijifungua

Imenikumbusha miaka ya nyuma kidogo kuna dada mmoja aliitwa Jordan alifanya kufuru Kama hii, mtoto akatoka ila mlemavu wa macho. We dj, Mungu yupo.
Dj khaleed anadai madokta walimhakikishia kila kitu kipo sawa so wakampa go ahead ya kufanya yake
 
Mungu atuepushilie mbali na wasanii wetu kuiga kwa maana tutaona vitu vya tofauti sana...unamuona mtu mweupe usoni ukiona video kumbe upapa mweusiii-two different colour one people.
Hahahhahaaa mkuu umewaza mbali ila ndo ukweli wenyewe huo
 
Damn. Youu can stay up!

Damn. Every time when listening this....make MAD. DAMNNNN AM ALL WAY UPPPPPPPP
 
Huyo alozaa nae mbona kizee?Haamini na yeye ndio maana karuhusu kuchukuliwa video akiwa anajifungua na ulimwengu mzima kushuhudia.
 
Mungu atuepushilie mbali na wasanii wetu kuiga kwa maana tutaona vitu vya tofauti sana...unamuona mtu mweupe usoni ukiona video kumbe upapa mweusiii-two different colour one people.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah nimecheka sana.
 
Nilishawah kuona kwa mdogo wake kim Kardashians live kitoto kikatoka puuuuu dah nilishangaa wazungu bwana...
Ila snapchat ya dj Khaled kuna muda dr alikua anamwambia asichukue video adi mwisho akafungiwa nje ya mlango haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…