Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Bwana Khaleed alizidisha aiseeNilishawah kuona kwa mdogo wake kim Kardashians live kitoto kikatoka puuuuu dah nilishangaa wazungu bwana...
Ila snapchat ya dj Khaled kuna muda dr alikua anamwambia asichukue video adi mwisho akafungiwa nje ya mlango haha
Yaani Khaleed aombe Trump asichukue nchi la sivyo atawapeleka SyriaHalafu dogo kapewa jina 'Ahsad'. Lazima awe na roho ngumu kama wajina wake wa Syria.
Hahahahaaaa! Khalid type wakirudishwa Syria watafikia kwenye kitanzi tu. Adhana youtube huku mkewe anajifungua!!!! Lazima achezee kitanzi tu.Yaani Khaleed aombe Trump asichukue nchi la sivyo atawapeleka Syria
atakuwa kafanana na wale wanaomiliki team kwa social networksivi uyu jamaa bongo anafanana na celebrity gani kwa showoff zake??
shombe shombe huyoHuyu ni mwarabu
Haya poashombe shombe huyo