Fahamu maana ya mwimbaji na mmiliki wa wimbo. Ts business.
Kuna jamaa alikuwa anaitwa dj choka kawa choka sasa.Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa marekani anayejiita Dj Khalid....
Dj D Ommy pia...ana ngoma kali kali pia.Kibongo bongo dj wa diamond niliona anafanya kama khalid
Boresha entertainment game yako,,bado ipo chini sana.
Dj Khaled kwanza sio mwimbaji bali ni DJ na Producer..na yeye anawashirikisha wasanii kwenye project yake ambayo anaimiliki..
Hata wewe unaweza kuwaweka pamoja Alikiba na Sadala na wimbo ukaumiliki wewe bila kuimba na jina litakuwa ni
Kajeba ft Alikiba & Sadala.
Ommy yupi make wapo wengi wanojihita ommyDj D Ommy pia...ana ngoma kali kali pia.
Naweza kukushirikisha wewe kwa kukulipa tukamalizana..hati miliki inakuwa ni yangu..acha kukaza shingo mkuu..tusikilize sisi ma-guru wa muziki.Featuring maana yake sio umiliki!
kushirikiana kuimba ni tofauti na kumiliki wimbo
Wa CloudsFm..KibongeOmmy yupi make wapo wengi wanojihita ommy
Asante kwa hii...ngoja niisakeWa CloudsFm..Kibonge
Kuna moja kawaweka Jux,Ben Pol na Baraka the prince..kali sana
DJ anaimba???Wakuu
Katika vitu visivielewi ni pamoja na uimbaji wa msanii huyu wa marekani anayejiita Dj Khalid
Kila nyimbo aliyomo utaambiwa ni wimbo wake kamshirikisha msanii furani
anachokiimba sasa kwenye huo wimbo wake ahahah ni kituko, nyimbo nzima yeye atasikika mwanzo akisema "Dj Khalid.. Another one" na mwisho humalizia hivyo hivyo hapo anakuwa amemaliza
Dj Khalid! another one